Mkutano Mkuu wa Sita wa AQRB 2025 AICC
Mkutano Mkuu wa Sita wa AQRB 2025 AICC
Imewekwa: 20 Oct, 2025

Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Rogatus Mativila akitoa Zawadi kwa washiriki waliofadhili Mkutano Mkuu
wa Bodi (AQRB) jijini Arusha.