Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Mkutano Mkuu wa Sita wa AQRB 2025 AICC

Imewekwa: 20 Oct, 2025
Mkutano Mkuu wa  Sita wa AQRB 2025 AICC

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Rogatus Mativila akitembelea Mabanda ya Wafadhili waliofadhili Mkutano Mkuu wa AQRB Jijini Arusha.