Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Mashindano ya Michezo kati ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Imewekwa: 20 Oct, 2025
Mashindano ya Michezo kati ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Mashindano ya Mpira wa Mguu kati ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji  Majenzi wakati wa Mkutano Mkuu Jijini Arusha. Wakadiriaji Majenzi walishinda mashindano haya