MKUTANO MKUU WA NNE WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI UKUMBI WA MTUMBA HALL DODOMA
MKUTANO MKUU WA NNE WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI UKUMBI WA MTUMBA HALL DODOMA
19 Oct, 2023
- 20 Oct, 2023
08:00:00 - 17:00:00
DODOMA MTUMBA HALL
atugonza.samwel@aqrb.go.tz
Mkutano wa nne wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) utafanyika tarehe 19-20, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano Mtumba
Jinsi ya kujisajili ingia kwenye mfumo wa (https://ors.aqrb.go.tz) kabla ya tarehe 10.10.2023