Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi
Previous
Next
Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa wakati wa kikao kazi na Wakuu wa Taasisi wa Kampuni chini ya Ujenzi katika ukumbi wa wakadarisi (CRB) jijini Dodoma
Majili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Arch Edwin John Nnunduma akitoa maelezo kuhusu kazi za Wabunifu Majengo na Wakadirijai Majenzi(AQRB) wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa katika ukumbi wa Wakadarasi jijini Dodoma
Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa akiwa kwenye kikao kazi na wakuu wa Taasisi chini ya Ujenzi pamoja na wakuu wa vitengo na Wakuu wa idara katika ukumbi wa Wakadarasi jijini Dodoma