Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Bodi inatambua aina mbalimbali za wataalamu na wanafunzi. Usajili unategemea hadhi ya muombaji: Hadhi Maelezo ya Usajili Mwanafunzi / Mhituumu (Graduate) Kwa mhitimu wa shahada inayotambuliwa katika Ubunifu Majengo, Ukadiria...
Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) ilianzishwa awali mwaka 1972 chini ya Sheria ya Bodi ya mwaka 1972. Uanzishwaji wake rasmi kama chombo cha kisheria cha kusimamia usajili na udhibiti wa taaluma za Usanifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi ulifanyika mwaka 1997 kupitia Sh...
Tovuti Rasmi Tembelea www.aqrb.go.tz – hapa unaweza: Kujua historia ya Bodi, sheria na mamlaka yake Kusoma habari za usajili wa wataalamu na wanafunzi Kupata fomu za maombi mtandaoni na taarifa za ada Ofisi Kuu ya Bodi Tembelea moja kw...