Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Nawezaje kujisajili watalaam

Imewekwa: 28 Apr, 2023

Jinsi ya kujisajili

1.ingia katika mfumo wa kujisajili kupitia http://ors.aqrb.go.tz

2.ingia katika akaunti yako kwa kuingiza jina unalotumia pamoja na nywila yako nabonyeza kitufe ya kuingia

3.bonyeza kitufe cha kujisajili kama mtaalamu kisha jaza taarifa na uzitume