MKUTANO MKUU WA NNE WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MTUMBA HALL DODOMA
MKUTANO MKUU WA NNE WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MTUMBA HALL DODOMA
Imewekwa: 14 Aug, 2023

Mkutano Mkuu wa Nnne wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mtumba Tarehe 19-20 Octoba 2023
Jisajili kupitia (https://ors.aqrb.go.tz). Tafadhali hakikisha Usajili wako kabla ya Tarehe 10.10.2023