Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Nafanyaje Kulipa ada ya mwaka?

Imewekwa: 28 Apr, 2023

1. Nenda kwa https://ors.aqrb.go.tz

2. Ikiwa bado hujajisajili kwenye mfumo, fungua akaunti kisha ingia.

3. Ikiwa umesajiliwa kabla ya mfumo kama Mhitimu, mtaalamu au una kampuni ya ushauri, wakati umeingia nenda kwa kiungo "Professional registered before the system" weka nambari yako ya usajili.

3. Ukiwa umeingia nenda kwa "Annual subscription fee" kisha chapisha ankara yako. Ankara ina namba ya kumbukumbu ya malipo.

4. Tumia nambari ya kumbukumbu ya malipo uliyopo kwenye ankara yako kuendelea na malipo