Naibu katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi Dkt Charles Msonde akiwa Mgeni Rasmi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi (AQRB)
Naibu katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi Dkt Charles Msonde akiwa Mgeni Rasmi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi (AQRB)
Imewekwa: 17 Feb, 2026
Naibu katibu Mkuu Ujenzi Dkt Charles Msonde alisisitiza AQRB kuendelea kuimarisha Uwajibikaji matumizi sahihi ya rasilimali mifumo ya udhibiti wa ndani pamoja na mageuzi ya kidijitali ili kuboresha huduma na kuongeza mapato ya Taasisi