AQRB wakati wa Mkutano na Wabunge
AQRB wakati wa Mkutano na Wabunge
Imewekwa: 25 Apr, 2025

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria ndogo wakiwa katika semina ya kujengewa uelewa kuhusu Sheria ya Usajili ya Wabunifu
Majengo na Wakadiriaji Majenzi Namba 4 ya Mwaka 2010 na Sheria Ndogo ( GN.No. 879/2024 na mabadiliko yake jana April 24, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
Aidha, Semina hiyo imeshirikisha Wataalamu kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Wakiongozwa na Msajili wa Bodi hiyo Arch, Edwin Nnunduma pamoja na Wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi Wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Ufundi na Umeme (DTES) Qs. Nyaswa Machibya.