Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

kikao cha Faragha cha AQRB

Imewekwa: 09 Sep, 2023
kikao cha Faragha cha AQRB

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akizungumza na Wafanyakazi wa AQRB wakati wa kikao cha  Faragha cha Wafanyakazi katika Ukumbi wa Wakala Mkuu wa Majengo Tanzania (TBA) Dodoma