Mkutano Mkuu wa Wakadiriaji Majenzi (TIQS)
Mkutano Mkuu wa Wakadiriaji Majenzi (TIQS)
Imewekwa: 08 Sep, 2025

Kaimu Msajili wa AQRB Arch. Dkt Daniel Gittu Matondo akishiriki Mkutano Mkuu wa Wakadiriaji Majenzi (TIQS) Jijini Dodoma tarehe 5 na Tarehe 6 2025 Mabeyo Hall.