Mkutano Mkuu wa Wakadiriaji Majenzi (TIQS)
Mkutano Mkuu wa Wakadiriaji Majenzi (TIQS)
Imewekwa: 08 Sep, 2025

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Dkt Charles Msonde wakati wa Mkutano Mkuu wa wakadiriaji Majenzi (TIQS) jijini Dodoma Mabeyo Hall kuanzia tarehe 5 na 6 2025 kama Mgeni Rasimi.