Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa TIQS,Tanga.

27 Aug, 2026 - 28 Aug, 2026
08:00:00 - 17:00:00
TANGA
erick.raphael@aqrb.go.tz

Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Arch. Dr Daniel G. Matondo (wa pili toka kulia) akishiriki kwenye ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa 32, Taasisisi ya Wakadiriji Majenzi Tanzania (TIQS) 2026 na mafunzo endelevu ya kitaaluma, kuanzia tarehe 27-28/08/2026 kwenye ukumbi wa Tanga Beach Resort,Tanga.

Ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa TIQS,Tanga.