Maonesho ya Nane nane jijini Dodoma.
Maonesho ya Nane nane jijini Dodoma.
Imewekwa: 15 Aug, 2026
Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Ujenzi Dr. Charles Msonde akipata maelezo kuhusu shughuli za AQRB wakati alipotembelea Banda la Bodi kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Nane nane yanayo endelea katika viwanja vya Nane nane Nzuguni,Dodoma.