Maonesho ya Nane nane jijini Dodoma.
Maonesho ya Nane nane jijini Dodoma.
Imewekwa: 15 Aug, 2026
Kaimu Msajili,Arch. Dr Daniel G. Matondo akitembelea banda la Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na wakadiriaji Majenzi (AQRB) ili kujionea huduma zitolewazo kwenye banda hilo katika Maadhisho ya Sikukuu ya Nanenane,viwanja vya Maonesho Nzuguni,Dodoma.