Utambulisho elekezi kwa wahitimu
Utambulisho elekezi kwa wahitimu
21 Aug, 2026
08:00:00 - 05:00:00
DAR ES SALAAM
erick.raphael@aqrb.go.tz
Wahitimu wa kada za Ubunifu Majengo (Architects) na Ukadiriaji Majenzi (Quantity Surveyors). na kada zingine zinazo shahabiana nazo wakiwa katika mafunzo yaliyoandaliwa na AQRB yenye lengo la kutoa uelewa wa kuzifahamu taratibu za Bodi kabla ya kuanza kufanya usajili. Mafunzo hayo yalifanyika tarehe 21/08/2026 katika ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar Es Salaam