Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

SHEREHE YA MAHAFARI YA TATU

21 Aug, 2026
08:00:00 - 17:00:00
DAR ES SALAAM
erick.raphael@aqrb.go.tz

Wanataaluma wa kada za Ubunifu Majengo (Architects) na Wakadiriaji Majenzi (Quantity Surveyors) na Kada zingine zinazoshabihiana nazo wakiwa kwenye picha ya pamoja katika sherehe za mahafali ya tatu (3rd) ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriarji Majenzi (AQRB) zilizofanyika tarehe 21/08/2026 katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es salaam 

SHEREHE YA MAHAFARI YA TATU