SHEREHE YA MAHAFARI YA TATU
SHEREHE YA MAHAFARI YA TATU
21 Aug, 2026
08:00:00 - 17:00:00
DAR ES SALAAM
erick.raphael@aqrb.go.tz
Wanataaluma wa Kada za Ubunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi na Kada zingine zinazoshabihiana nazo wakiwa kwenye zoezi la kukabidhiwa Makabrasha (Vitendea Kazi) na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Dr. Advocate Elias Kissamo katika Mahafali ya tatu ya Bodi yaliyofanyika tarehe 21/08/2026, katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es salaam.