Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

Wadau mbalimbali walio shiriki katika Ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa TIQS,Tanga.

27 Aug, 2026 - 28 Aug, 2026
08:00:00 - 17:00:00
TANGA
erick.raphael@aqrb.go.tz

Wanataaluma wa Kada ya Ukadiriaji Majenzi (Quantity Surveying) na kada zingine zinazoshabihiana nazo wakishiriki katika Mkutano Mkuu wa 32 na Mafunzo endelevu ya kitaaluma ya Taasisi ya Wakadiriaji Majenzi Tanzania (TIQS) Kwa mwaka 2026, Uliofanyika kuanzia tarehe 27-28/08/2026 katika Ukumbi wa Tanga Beach Resort, Mjini Tanga.

Wadau mbalimbali walio shiriki katika Ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa TIQS,Tanga.