Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Ujenzi

Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi

kikao cha Faragha cha AQRB

Imewekwa: 09 Sep, 2023
kikao cha Faragha cha AQRB

Baadhi ya Wafanyakazi wa AQRB wakishiriki Kikao cha Faragha kilichofanyika katika Ukumbi wa Wakala Mkuu wa Majengo Tanzania (TBA) Dodoma